Skip to content
Salons10
Devotha na afya

Devotha na afya

Mbeya Health/Beauty

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Devotha na afya, Health/Beauty, Mbeya.

21/08/2026

vidonda vya tumbo (peptic ulcers), ni vidonda vinavyotokea kwenye ukuta wa tumbo au sehemu ya mwanzo ya utumbo mdogo.
Dalili zinaweza kuwa:
Maumivu au kuwaka sehemu ya juu ya tumbo
Tumbo kujaa gesi au kuvimba
Kichefuchefu
Kushiba haraka au kukosa hamu ya kula
Sababu kuu ni maambukizi ya bakteria H. pylori na matumizi ya mara kwa mara ya baadhi ya dawa za maumivu k**a ibuprofen au aspirin.
Ikiwa una maumivu makali sana, kutapika damu, au choo cheusi k**a lami, wai matibabu haraka kwa mawasiliano zaid piga 0750519936/wasap🍇🍉🍍

21/08/2026

Gesi kujaa tumboni (bloating) inaweza kusababishwa na mambo mbalimbali, k**a:
Kula haraka au kumeza hewa wakati wa kula/kuzungumza.
Vyakula vinavyotengeneza gesi, k**a maharage, dengu, kabichi, vitunguu na vinywaji vya soda.
Kuvimbiwa (constipation).
Kutovumilia baadhi ya vyakula, mfano maziwa kwa baadhi ya watu.
Mabadiliko ya bakteria wa kawaida kwenye mfumo wa chakula.
Wakati mwingine matatizo ya mfumo wa chakula yanaweza kusababisha gesi nyingi.
K**a gesi inaambatana na maumivu makali ya tumbo, kutapika, damu kwenye choo, tumbo kuvimba sana, au inaendelea kwa muda mrefu, ni vizuri kumwona daktari.piga kwa mawasiliano zaid 0750519936/wasap

18/07/2026

🚨 SEMINA KUBWA YA AFYA NA UCHUMI – MBEYA! 🚨 0750519936

Je, unatamani kuishi maisha yenye afya bora na kuongeza kipato chako? Hii ndiyo nafasi yako!

Njoo ujifunze siri za:
✅ Afya bora kwa familia yako.
✅ Namna ya kujikinga na magonjwa yanayoepukika.
✅ Fursa za kuongeza kipato na kujenga uhuru wa kifedha.
✅ Kukutana na wataalamu na watu wenye maono ya mafanikio.

📍 Ukumbi: TUGIMBE – Mbeya
📅 Tarehe: 19/07/2026
🕓 Muda: Saa 4:00 Asubuhi – Saa 8:00 Mchana
🎟️ Kiingilio: Shilingi 5,000 tu

Usikubali kubaki ulipo wakati maarifa yanaweza kubadilisha maisha yako! Chukua hatua leo, waleta marafiki, ndugu na familia yako.

Nafasi ni chache! Weka tiketi yako mapema na uwe sehemu ya semina itakayoweza kubadilisha afya, fikra na uchumi wako.

21/02/2026

WAI TIBA KABLA TATIZO ALIJAWA KUBWA 🍉🍊 TUNATIBU TATZI LA ACID KWA KUTUMIA TIBA LISHE HAZINA MADHARA YOYOTE PATA KWA BEI YA PUNGUZO🍍🍋🍊🍒

19/02/2026
18/02/2026

Hello guys kahawa n nzuri aina madhara yoyote😊inaondoa uchovu nzur pia kwa wale wanaotumia mda mrefu kwenye kompyuta☕️pata kwa bei ya punguzo

18/02/2026

HELLO HABARI JE WEW NI MWANACHUO NA UJUI NINI CHA KUFANYA KUINGIZA KIPATO CHAKO? KARIBU UJIFUNZE JINSI YA KUJIINGIZIA KIPATO CHAKO ENDELEVU KUANZIA LAKI TANO KWA MWEZI NA KUENDELEA,KWA MAWASILIANO ZAID PIGA 0750519936/WASAP

13/02/2026

TUNAFANYA DERIVER MIKOA YOTE KWA UAMINIFU ZAIDI🙏❣️

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Devotha na afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Mbeya.